Kwa wale waliokua wapenzi wa bongofreva nadhani watakua wanamfahamu msanii John Woka alikua akitamba na style au mtindo wake wa kurap kama mlevi,
Alitamba na nyimbo kama UMASKINI HUU , SHEMEJI , WALIMU, na nyingine nyingi alikua akiimba na mwanamziki mwenzake MJALUO ,
taarifa iliotufikia inasemekana amefariki dunia katika hospitali ya muhimbili na msiba upo maeneo ya buguruni bungoni.Chanzo cha kifo chake ni kuripukiwa na gesi siku ya tarehe 14/02/2016
BWANA AMETOA NA BWANA AMETOA JINA LA BWANA LIIMIDIWE, AMEN! !!
No comments:
Post a Comment